I LOVE GIRLS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 857
- 1,323
@EMTBila shaka hamjambo wana JF,
Hivi jamani, upi utajiri wa vitenzi kisemantiki na kisarufi?
Karibuni sana wana JF, mtoe mchango wenu.
Tukusaidie assignment sio?
NISAIDIENI KIJANA WENUBila shaka hamjambo wana JF,
Hivi jamani, upi utajiri wa vitenzi kisemantiki na kisarufi?
Karibuni sana wana JF, mtoe mchango wenu.
Hakuna matumaini mkuu. Kama wasomi wetu mpaka wanaomba kufanyiwa homework ya utajiri wa vitenzi. Kama taifa tutatoboa kweli kama elimu yenyewe ndiyo hii?Kwa mtaji huu, elimu yetu inahitaji BIDII sana.
Umenikumbusha mbali mambo ya kunyambua vitenzi piga ,pigana,pigiza,piganisha.Bila shaka hamjambo wana JF,
Hivi jamani, upi utajiri wa vitenzi kisemantiki na kisarufi?
Karibuni sana wana JF, mtoe mchango wenu.
Darasani mlifundishwaje?NISAIDIENI KIJANA WENU