Upi utaratibu mzuri wa kufuata ili kulinda haki ya mtoto anayetuhumiwa kushibisha mimba mwanafunzi?

Mara nyingi hizo mimba huwa ni za waalim au za watu wenye uwezo wao kipesa.

Huyo kijana anaweza kufungwa akaja okolewa na DNA baada ya miaka mingi magereza.
 
Nenda Ustawi wa Jamii katoe taarifa. Kwa kuwa wote wapo under 18, mvulana atachapwa viboko na kesi itaisha. Ila kwa shuleni mvulana huyo atafukuzwa shule kwa kuwa mwanafunzi haruhusiwi kujihusisha na mapenzi. Hili ndio kosa. Ila binti na shule ndio bye bye! Labda asubiri akijifungua kuna fursa ya kujiendeleza.
 
Subiri jamii ikulelee mtoto ili uongeze emojs za kuchekelea.
Tayari mwalimu jamii amemlea!
Matamanio ya ngono anazofanya amefundishwa na jamii, ndio maana nimekuambia jamii ndio yenye nguvu ya kuwafundisha watoto kuliko wazazi,

Ikiharibika jamii na watoto wetu wameharibika

Ikistarabika jamii na watoto wetu wanastarabika

Hakuna mzazi mwenye nguvu ya kumwokoa mwanae kwa kumfunda bila kutegemea kufunga geti Kama Hilo lililopo kwako!

Ukibisha, lifungue uache watoto huru utegemee ratiba za kuwafunda kila jioni
[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…