Bado sijakuelewa.Ndugu, huo ni mkataba wa mkopeshaji (Exim bank of China) wa SGR na sio mkataba wa ujenzi wa SGR. Madudu kwenye mikataba yanakuaga kwenye construction contracts na sio kwenye Lender and Borrower.
Kuna walio na muda wa kusoma yote hayo, na tayari wamekwishatoa mhtasari wa mambo muhimu yaliyokuwa yakihusishwa na mkataba huo kutoonekana popote ndani ya maandishi hayo.Documents zake nadhani ni h
lakini kipengere cha bandari ya mombasa kuwekwa rehani kingeonekana humuNdugu, huo ni mkataba wa mkopeshaji (Exim bank of China) wa SGR na sio mkataba wa ujenzi wa SGR. Madudu kwenye mikataba yanakuaga kwenye construction contracts na sio kwenye Lender and Borrower.
Mambo ya kitaalamu kwetu wengine magumu. Anaposema preferential buyer sijui anamaabisha nini!Kwa mfano, kuwekwa rehani kwa bandari ya Mombasa haionekani mahali popote katika mkataba wote.
Hapo hakuna ugumu wowote, na wala haihusiani kabisa na kunadisha bandari, na hakuna cha "utaalam" wowote hapo.Mambo ya kitaalamu kwetu wengine magumu. Anaposema preferential buyer sijui anamaabisha nini!
Kwa sababu tulishaambiwa mara nyingi sana kwamba wachina ni hatari sana katika wizi wa mali za nchi zinazoendelea. Mikataba yao ni ya kuwanyonga nchi maskini, wakilazimisha kuweka rehani mali zao adimu ambazo huishia katika kuchukuliwa na hao wachina.Huu uzi kwanini unajadiliwa na Watanzania , kuna nini mmekiona ?
Kwa sababu matango pori waliyolishwa hawawezi kuyatapika tena.Huu uzi utapata wachanfiaji wachache