SoC04 Upimaji urasimishaji na kutengeneza hati za ardhi na viwanja katika miji mikuu

Tanzania Tuitakayo competition threads

Jose singo

Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
16
Reaction score
17
Katika dunia ya sasa na kuongezeka kwa kampuni nyingi za upimaji ardhi na kuuza ardhi real estate. Ni fursa kubwa kwa serikali na wizara ya ardhi kufanya jitihada ya kuboresha huduma ya upimaji haswa katika miji mikuu, na kuwapatia hati wamiliki wake ili kuongeza source ya mapato kwa serikali kwa namna mbili

Mosi katika malipo ya kodi ya ardhi ya kila mwaka, viwanja vingi maeneo ya mijjini wakazi wake hawachangii kodi hii muhimu kwakua maeneo yao mengi hayajarasimishwa.

Sio ajabu kukuta hata katika mji mkuu wa serikali Dodoma, pamoja na awali kua na CDA maeneo mengi hayana hati, jiji mashuhuri kama Daressalam Arusha na mwanza pia. Kwa kuendeleza sector hii serikali itajipatia chanzo cha uhakika wa mapato na kuongeza thamani ya ardhi mathalani kwa jiji la Dar es Salaam lenye ukuwa wa square kilometer 1590, gharama za miradi ya upimaji hutumia gharama kubwa lakini in a long run itarudi with a lot of profit kwa mfano mwaka 2003-2004, wizara ilibuni mradi wa kupima viwanja 20,000 kwa gharama ya tsh billion 21.9 lakini vilipimwa viwanja 30,400 na moja ya faida ya huo mradi ilikua kupunguza ujenzi holela, kuongeza mapato ya serikali na wateja kujenga imani kwa wizara, kupunguza mianya ya rushwa katika ugawaji katika huu mradi wizara ilisema baada ya zoezi kuisha kati ya bilioni 8.9 iliyokopeshwa bilioni 4 waliweza kurejesha hazina kama malipo ya huo mkopo source tanzania online gateway -taarifa ya miradi inayolenga kuboresha huduma za ardhi na makazi.

Katika taarifa hiyo ilionyesha karibia asilimia 80ya nyumba zote jijini Dar zilikua katika maeneo yapatayo 54 yaliyojengwa kiholela katika maeneo hayo kuna ujazo mkubwa wa nyumba hadi kufikia 35 na watu 480 kwa hekta, hali hio sio kawaida, kwa kawaida ujazo wa juu ni nyuma 25 na watu 225 kwa hekta kwa maeneo yaliyopimwa na kufanya maeneo haya kuwa na athari za kimazingira.

Hali kama hii ipo katika majiji mengi na hali ya uendelezaji kiholela wa maeneo hali ambayo itaiingiza serikali gharama za upimaji na ulipaji wa fidia kama hatua stahiki zisipochukuliwa mapema.

Upimaji shirikishi una faida kubwa kwa serikali haswa katika maeneo ambayo hayajaendelezwa kwani pamoja na faida za kuepuka makazi holela inasaidia kupunguza gharama za ulipwaji fidia na serikali kuingia gharama za upimaji wa maeneo tuu.

Pili faida ya pili ya uendelezaji huu utatokana na kuchukua kodi katika mauziano ya viwanja na katika kubadirisha umiliki wa viwanja hivi.

Jitihada kubwa wizara inafanya kuhakikisha haya yanawezekana ninadhani katika kuelekea tanzania tuitakayo .

Budget inapaswa kuwa allocated katika sekta ya upimaji na urasimishaji ikiwezekana hata hati zitolewe kama deni ili mtu anapouza kiwanja alipe pamoja na deni ilo .
 
Upvote 5

Chapisho zurii
 
Back
Top Bottom