Zoezi la upimaji wa viwanja na uwekaji wa namba katika nyumba , kibinafisi zoezi hili halijatolewa ufafanuzi katika jamii , katika mtaa wangu jamii naona haelewi na haijajua makakati wa jambo hili kwa ufupi,ni vyema wahusika waweke muongozo jamii kuwa na uelewa mpana wa mambo yanayoratibiwa na serekali au tasisi yeyote ile hii itasaidia kujua na kuelewa hatima ya mambo katika jamii na taifa kwa ujumla .
Mwenye uelewa juu ya hili naomba niongezee content
Mwenye uelewa juu ya hili naomba niongezee content