Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

Shallow mimded
 
Kipindi cha kampeni watu walipiga kelele kua sio mzanzibari saiz anapiga kazi promo zmeshika kazi. ...tusisahau kua anae role model anaempa hints
 
Hakuna mtu alikuwa na wakati mgumu kama h.mwinyi baada ya kuapishwa.niseme tuu bila kumbembeleza mzee wa "hututishiiii"mwinyi alikuwa kashapagawa maana zanzibar ilishagawanyika.ila kitendo cha seif kukubali kuungana nae ni bonge la point sana kwake ndio maana sa hivi angalau anachofanya kinakubalika hata kwa wananchi wake
 
Uwezo wako wa kupanga hoja ulishashuka sana! Nimeiona hiyo mara nyingi. Unavyochangia ni kama mtu aliye na msongo wa mawazo. JF tuko anonymous hii inatupa nafasi ya ku-relax. Nakuomba relax, hata kama umepigwa kisiasa, relax! jifunze kazi nyingine, komaa upate kuinuka tena. Michango ya aina hii ni ya kukutia uchungu wa bureee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…