Uchaguzi 2020 Upinzani hawana Rais, Wabunge wala Madiwani

Uchaguzi 2020 Upinzani hawana Rais, Wabunge wala Madiwani

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wakurungwa tuwe tu wakweli na tuseme uwazi.

CHADEMA isitegemee kupata Rais , Wabunge wala Madiwani kwenye Uchaguzi Mkuu 2020. Na hata vyama vingine vya upinzani wasitegemee katika hilo.

Wanaotaka kutia nia waache maana watapoteza pesa zao na muda wao , mwisho wa siku wataambulia madeni na stress tu huko mtaani.


' Set up ' iliyopo ni kwamba upinzani kwaheri ya kuonana. Wasubiri 2025 (labda).

Yetu macho.
 
Si ndivyo mnavyotaka nyie wachawi wa taifa, CCM. Unamkuta mtu na akili zake timamu anafurahia hali hiyo. Kwa kweli Watanzania tumelaaniwa. Mtu yuko tayari kummiminia Mtanzania wenzake risasi za kumwangusha tembo mradi tu anahatamia uongozi wa nchi hata kama uwezo, sifa wala hekima hana. Halafu unamkuta anatamba mtaa mzima jinsi kwa ubabe alivyofanikiwa kutokomeza upinzani, ushetani mtupu.

 
Back
Top Bottom