Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...
Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni wanyonge na wadhaifu mno, hakuna haja ya kueleza sana mambo ambayo ni wazi yanaonekana mchana kweupe...
Hata hivyo,
Inafurahisha sana kuona kwamba, wapinzani wote katika ujumla , umoja na migawanyiko yao, katika hili la uchaguzi mkuu ujao, kwenye nafasi ya Rais watamuunga mkono Dr. Samia Suluhu Hassan endapo ataridhia ombi lao na matarajio ya waTanzania walio wengi, kwamba aridhie kugombea urais tena Urais akamilishe ngwe ya pili ya uongozi wake, kwani Taifa katika ujumla, umoja na mshikamano wake, wananchi walio wengi zaidi wanaridhishwa na kasi yake ya maendeleo, mtindo wa uongzi wake mahiri na madhubuti, mipango mikakati yake makini na muhimu sana yenye maslahi mapana ya waTanzania wote..
Na kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hakuna hatari au kitisho kwa mtaa, kata au jimbo lolote la uchaguzi linaloweza kuangukia mikononi mwa upinzani dhaifu sana unaoiunga mkono serikali sikivu ya CCM...
Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa uhai na ustawi wa demokrasia nchini....
Unadhani,
Ni kwanini hali hii ya kutokuwa na uhakika wa ngome wala uhakika wa kushinda uchaguzi hata kiti kimoja, imewazonga sana wapinzani hasa wakati huu muhimu tunapoelekea kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baadae mwakani?🐒