Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Yaani mguu nje, mguu ndani, wakati wowote mwenye nyumba anatoa notice ya mtu kutimuliwa pangoni na wakati wowote vile vile uzalendo unamshinda mpangaji anaondoka anahamia kwingineko.
Ni kirusi gani sijui kimewatembelea hawa majamaa huko kwe vyama vyao? kila uchwao miongoni mwao ni kutuhumiana tu na kulumbana wao kwa wao kwamba kuna wala rushwa na wasio wala rushwa baina yao viongozi.
Na sasa hivi wanatangatanga bila uelekeo, na kujihusisha na masuala kihalifu na uvunjifu wa amani, ili wakamatwe na polisi kuvutia huruma ya wananchi ambao tayari wengi wao walishawapuuza watu hawa na harakati zao zenye kuwanufaisha wao na familia zao kwa mngongo wa kutetea wananchii🐒