Upinzani Tanzania waomba EAC iwaokoe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wadai wamekandamizwa na kwamba utawala wa Magufuli kufikia sasa umekamata wafuasi 400 wa upinzani. Sasa binafsi najiuliza EAC ipi itawasaidia au kuwaokoa, ya Kagame, Museveni na Nkurunz...(huyu jina lake hunishinda).

Wapambane tu na hali yao, maana hata huku Kenya upinzani wanang'ang'ana, japo rais Uhuru huwa anawapa nafasi ya kubwatuka wanavyotaka, ila ikumbukwe uhuru wa maoni tumeupata kwa kupambana sisi wenyewe, nakumbuka enzi za rais Moi alikua hajaribiwi, lakini tuiendelea kuvumilia na kuomba haki yetu hadi tukafikia hapa.

Hivyo wapinzani wa huko Bongo, sioni kama kuna lolote EAC itafanya kuwasaidia, hata Ulaya au Marekani hawawezi kuingilia maana Trump ndio hana muda kabisa, keshasema hatoingilia ugomvi wa nchi yoyote. Mkae na rais Magufuli kikao na kujadili wapi pa kurekebisha.
---------------------------------------------------------



Chadema is now calling on EAC leaders to intervene as the party members grapple with arrests of its cadres. TEA GRAPHIC | NMG

Tanzania’s civil society and main opposition party Chadema have accused President John Magufuli’s administration of harassment of opposition lawmakers, three of whom were arrested in the past week.

Chadema is now calling on EAC leaders to intervene as the party members grapple with arrests of its cadres.

The Legal and Human Rights Centre (LHRC), a human-rights NGO based in Tanzania, said the string of arrests amounted to a “violation of political and civic rights” in a country where multi-party politics is enshrined in the Constitution.

On Tuesday, opposition MP Tundu Lissu was arrested for allegedly insulting President John Magufuli, by revealing that Canada had seized a commercial aircraft purchased by the government over an unpaid $38 million debt to a Canadian engineering company.

It is the sixth time that Mr Lissu, the deputy head of Chadema, has been arrested this year. In July he was charged with hate speech after calling President Magufuli a “dictator.”

He was released on bail on Thursday.

Chadema says more than 400 of its members have been arrested and questioned, with some charged in court, since President Magufuli came to power in October 2015.

Last week, Ester Bulaya, the Bunda MP from the Chadema party, was arrested in the north for allegedly planning a meeting outside her electoral constituency.

“What law prohibits that?” asked the LHRC.

On Wednesday, another MP, Godbless Lema, was arrested for taking seven minutes longer than his allocated time to address a rally.

The LHRC urged the government to respect the rights of all political parties to freely carry out their activities. “Being the member of a different party is not a crime,” the organisation said.

Clampdown

President Magufuli, who came to power in 2015 as a corruption-fighting “man of the people,” has been increasingly criticised over his authoritarian leadership style that clamps down on the opposition, journalists and artists.

On Thursday, Chadema’s youth wing said in a statement that they were giving police chief Simon Sirro seven days to tell them “whether or not being a member of an opposition party is a crime.” If there is no response, they plan a countrywide protest on August 31.

The arrests of opposition leaders are higher than those recorded after the July 1983 failed mutiny against founding president Julius Nyerere, in which about 100 people were arrested and some charged with treason.

Chadema member of the Central Committee Prof Mwesiga Baregu told The EastAfrican that intimidation of their party members across the country has caused fear.

“The EAC has to intervene to save the situation. We have never had a situation like this before. Not even a crackdown against treason during president Nyerere’s era matched this level of arbitrary arrests because there was a sense respect for the law. But now people are fearful of being associated with the opposition. The opposition looks like treason and it is the president painting such a picture,” Prof Baregu said.

He added that citizens believe that if they follow the law and still get arrested, then the law is only trapping them.
In Kilombero district, 37 Chadema members have been arrested for allegedly beating up a police officer during a political gathering and providing false information to a government minister who was visiting the area.

In northern Tanzania, which is Chadema’s political base, 17 people have been arrested on accusations of insulting a district commissioner and obstructing a village meeting.

Mr Lissu, the vocal Singida East MP has been interrogated by police more than eight times since early 2016, while MP Halima Mdee and party chairman Freeman Mbowe have been questioned seven and six times respectively during the same period.

John Mrema, Chadema’s director of protocol, communication, ideology and foreign affairs, said the Central Committee had written a letter to acting Chief Justice Prof Ibrahim Hamis Juma questioning the independence of the judiciary due to cases of magistrates and judges refusing to grant party members bail for bailable offences.

Mr Mrema further said that cases involving 114 party members who were recently arrested in Geita and Arusha for unlawful assembly but were denied bail have prompted the party to consider filing a case seeking the constitutional interpretation of the decisions.

“Cases such as the arrest and detention of Arusha MP Godbless Lema for two months without bail, and many others, are threatening Chadema yet at the same time have made us more resilient as a party,” he added.

Tanzania opposition reaches out to EAC over arrests
 
Hivi kwa nini hawa wamarekani wameniweka hadi asubuhi aisee, hili pambano halijaanza hadi muda huu eti,

Wachana na wapinzani wa Africa, (especially Tanzania)
Huwa sioni uzito au mashiko ya Hoja zao, labda kidogo Yule wa Uganda (Kiiza Besigye)

Hawa wanaotaka kuonewa huruma hebu tuwaache wanyooshwe kwanza. Hata biblia yangu Takatifu inanikumbusha kuwa hakuna kiumbe dhaifu atauona ufalme wa Mungu.
Nilishakuwa na kadi ya Chadema wakati nipo Chuo ajabu hata sikumbuki niliipotezea wapi, Na hata namba yake sikumbuki tena.
 

Kweli hiyo ni biblia yako takatifu Na si Biblia Takatifu tunayoijua sisi
 
duh! wakati hawa wapinzani wanakamatwa, makosa yao huwa ni yepi? sijawahi elewa...pengine mmoja anielezee
 
Njia ya kumwambia jirani matatizo uliyo nayo ni njia nzuri sana. Maana yakitokea Kama Yale ya Rwanda ndio utawaona hao majirani wakijifanya yanawahusu na kuwaumiza mioyo Yao.
Kesho na kesho kutwa wakizaliwa wakimbizi Kenya na Uganda zitaathirika pia.
 
Sisi tumepata lidikteta linalo haribu uchumi wa nchi Afadhali Rwanda, Burundi na Uganda wanajenga uchumi wao
 
Lol!


Huwa sio mzembe wa kusoma makala ila nikiri hii sijaisoma hadi mwisho! Hivi ICC haihusiki na mambo kama haya? Watu 400 kukamatwa sio mchezo! Ni bora wakaenda huko uholanzi labda watapata msaada!
 
Ni Kenya pekee kwa sasa ambayo haitawaliwi na Dikteta wa aina moja au nyingine katika EAC
Huyu wa Tz alipoteuliwa tuu alienda Rwanda na Uganda kuchukua ujuzi kwa Ma guru
 
East Africa Court of Justice mnayo nyinyi huko Arusha Imesaidia nchi za Eastern , itumieni mjisaidie
 
Hicho ni kichekesho, unaomba msaada kutoka kwa Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya. Hawa watu hawajielewi, naona propaganda za kumtukuza Kenyata kutoka kwa upinzani bongo zinawafanya waonekane vichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…