Upinzani wa Tanzania unashindwa kwa kuwa hauna ideology!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Watanzania wameshindwa kuwaunga mkono upinzani kwa kuwa hakuna chama cha upinzani nchini kilichojitanabaisha na mrengo au muelekeo flani .

Yaani hawana ideology ambayo mwananchi anaweza kuitambua.

Hadi tutakapofikia huko CCM itaendekea kutawala milele kwani inatambua Ujamaa kama ndio muhimili na sera zake.
 
WEWE NDIYE HUIJUI.
cHADEMA IS GUIDED BY IDEOLOGY YA SOCIAL CAPITALISM
 
ubepari ambao mabepari wanakuwa heavily taxed to cater for the "poor" masses/working class...uwe unaelewa vitu hivi siyo unakaa huku mashenzini unajisahau
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hapo kwenye upinzani hauna ideology andika WATU WANA NJAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…