abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Watanzania tusikubal kuwa wajinga mbele ya Wanasiasa waongo.
CHADEMA na ACT-Wazalendo kuungana kwao ni ishara ya uchu wa Madaraka kwani sababu ya wao kuungana ni kumtoa Magufuli na sio kuongoza nchi na kama wataweza kumtoa Magufuli watakua Wamemaliza kazi yao iliofanya waungane vip nchi yetu itaongozwa vip na serikali ya vyama viwil vyama viwil vitawezaje kuunda serikal na vip viongoz hao wawil wa vyama waliounda serikali wakitofautiana nchi itakua kwenye hali gani?
Je, katika vyama ivyo viwil vilivyo ungana Nan atakubali kua chin ya mwenzako kama kutatokea tofauti?
Watanzania niwaambie nini maana ya vyama kuungana ili muelewe na baadaye tusije kujuta.
Ni hivi, chama cha CHADEMA na ACT wanajua wazi kabisa kuwa wapiga kura wao wakipigia kila mmoja chama chake hawawezi kuishinda CCM so wanaungana ili kura za wanachama wao ziweze kupambana na za CCM ivyo wanajua kabisa kua CCM ina nguvu kuwashinda wanaamua kutumia Wanachama wao ambao Wana maslahi na vyama vyao na sio wananchi wa kawaida tu kupambana ili kuitoa CCM ambayo ina watu wengi wanaoikubali, kitu ambacho kinaonesha wazi kuwa CCM Tanzania inakubalika kuliko Chadema na Act na wao wameshakiri wazi kua bila kuungana hawawezi kuitoa serikal ya CCM madarakani.