Ila wasiwasi wangu ni kuwa..Je tunayo tarehe kamili ya Kikwete kutoa ripoti?
Ama are we just hoping that atafanya tofauti na yale ambayo amekuwa akiyafanya kama vile kuzikalia ripoti zilizopita?
ahhh, kumbe ! tatizo lako ni kwamba upo katika kuangalia maovu ( na hapa nakuwa vere vere convinved kwamba wewe ni mpinzani ) maana ndio kazi yao kusubiri (maana kazi hawana) serikali ikosee then wao waongee (kama wewe)
Unadhani hali ya usalama (wa wananchi na mali zao) tanzania ikoje hadi hivi sasa ? je unadhani ipo hivyo just because ?
na hao walimu walioongezeka (angalau hawalipwi sana) lakini huoni hilo limesaidiwa kwa wale walioweza kujiendeleza masomo (waajiriwa ni wale waliomaliza form 4) na wakaweza kubenefit ajira ?
huoni kwamba serikali imeanza kutilia mkazo suala la mazao mfano, korosho, kahawa na kunufaisha wakulima ?
je huoni pia wajasiriamali wameanza kunufaika (angalau sio wote) kwa kuanzisha biashara ndogo ndogo !
je huoni kwamba watu jinsia ya kike wameweza kupewa kipaumbele zaidi katika awamu hii kuliko awamu yoyote ile ? (jinsia yako)
mengine meeengi tu, lakini kwa kuwa wewe mpinzani hautokubali chochote kile hata kiwe kizuri vipi ! but that doesnt stress me out CRITIC !
sasa subiri nienda kwa wakubwa kidogo mtaniexcuse kidogo !
Ila wasiwasi wangu ni kuwa..Je tunayo tarehe kamili ya Kikwete kutoa ripoti?
Ama are we just hoping that atafanya tofauti na yale ambayo amekuwa akiyafanya kama vile kuzikalia ripoti zilizopita?
Katika hili hujakosea. Ila ulichosahau ni kuwa, haiitaji hata kutumia pesa na technologia kuona maovu ya ccm. Maovu ya ccm yapo wazi na juzi wana ccm wa Bariadi waliandamana na nguo zao za kijani na njano kumpokea mwizi na fisadi mkubwa -Chenge.
Inategemea na tafsiri yako ya usalama. Kwangu mimi, watu wasio na hakika na chakula na mahitaji muhimu, usalama wao uko mashakani zaidi ya wale wanaoishi kwenye utawala wa kijeshi kama Iran?
Waliongezeka wapi na kwa vigezo vipi? Una takwimu?
Kama sera ya serikali ni kuinua uchumi wa nchi kwa kutumia kilimo basi hiyo nchi inaelekea hell. Wakulima inabidi wawe pungufu ya asilimia kumi ya Watz wote otherwise tutarudi zama za mawe ambapo uchumi wa nchi ulitegemea barter trade.
Kama wajasiriamali ni kina Mkapa na Yona basi nakbaliana nawe kwenye hili.
Unadhani kuweka wanawake kwenye madaraka wakati mamilioni ya wanawake wengine wakifa kwa njaa, magonjwa, kazi ngumu, na complication za uzazi ndio msaada wanaohitaji wanawake?
Unaweza kuyataja mkuu hayo mengine lakini pia ukiyalinganisha na Buzwagi, IPTL, rada, migodi ya madini, Kiwira, wizi wa BOT, na athari zake kwenye uchumi na maendeleo ya watanzania.
Presha tunampa sisi na yeye avute waya ampe muungwana presha...Kwani si wote tunajua kuwa this is one of the most defining moments in our country's political,economical and cultural life story?
Nataka msimamo wa Zitto kwenye hili!Huwezi kuwa na tarehe kwa sababu hiyo ni kamati ya Rais na ni yeye ndiye mwenye uamuzi wa mwisho. Tena halazimiki hata kuitoa hadharani. Na yes aweza kutangaza hadharani kinyume na ilivyofanywa huko nyuma. Hata hivyo at the end mwenye uamuzi wa nini public iambiwe au ione ni yeye Rais na ni Rais tu.
Hoja yenye nguvu ni uthibitisho kuwa sasa jk atakusikiliza wewe,Zitto na MKJJ ama atawasililiza kina Kingunge Ngombale Mwiru na Kada Mpinzani!Ukisubiri kila mtu awe on board mkuu utachelewa. WEwe mwenyewe umeona hata hapa JF kuna watu wanatetea ufisadi. Fanya part yako bila kujali kuwa ni nani yuko upande wako au wa mafisadi.
In the end, hoja zenye nguvu zinashinda tu over and over again.
Nataka msimamo wa Zitto kwenye hili!
Kwamba kama alijua kuwa Rais ndiye mwenye msimamo wa mwisho..then kumpa muda wa nini?
We unafikiri Chama cha Mapinduzi kitamwachia akiue?
NDOTO!
Ala!Zitto sio mwenyekiti wa hii kamati na wala si yeye aliyeiunda. Kwa hili unamwonea Zitto.
Ala!
Si mwenyekiti kweli huh?
Sasa taarifa alizo nazo yeye ni tofauti na alizo nazo Mark Bomani?
Ama ni tofauti na hizo walizo mkabidhi rais?
Mi naenda kwenye mitaksi ila i will be back!
That's a ten thousand dollars question, anayetakiwa kutoa report anajulikana na inasubiriwa ionekane kama ataitoa au la. Mtego hapa ni mkubwa kwa vile Zitto naye anayo report na JF inayo report just waiting for the right time to do the obvious - shame the devil.
Karibu tena kada anytime.... very good debate!
Katika hili hujakosea. Ila ulichosahau ni kuwa, haiitaji hata kutumia pesa na technologia kuona maovu ya ccm. Maovu ya ccm yapo wazi na juzi wana ccm wa Bariadi waliandamana na nguo zao za kijani na njano kumpokea mwizi na fisadi mkubwa -Chenge.
Inategemea na tafsiri yako ya usalama. Kwangu mimi, watu wasio na hakika na chakula na mahitaji muhimu, usalama wao uko mashakani zaidi ya wale wanaoishi kwenye utawala wa kijeshi kama Iran?
Waliongezeka wapi na kwa vigezo vipi? Una takwimu?
Kama sera ya serikali ni kuinua uchumi wa nchi kwa kutumia kilimo basi hiyo nchi inaelekea hell. Wakulima inabidi wawe pungufu ya asilimia kumi ya Watz wote otherwise tutarudi zama za mawe ambapo uchumi wa nchi ulitegemea barter trade.
Kama wajasiriamali ni kina Mkapa na Yona basi nakbaliana nawe kwenye hili.
Unadhani kuweka wanawake kwenye madaraka wakati mamilioni ya wanawake wengine wakifa kwa njaa, magonjwa, kazi ngumu, na complication za uzazi ndio msaada wanaohitaji wanawake?
Unaweza kuyataja mkuu hayo mengine lakini pia ukiyalinganisha na Buzwagi, IPTL, rada, migodi ya madini, Kiwira, wizi wa BOT, na athari zake kwenye uchumi na maendeleo ya watanzania.
Kwa maneno haya mwafrika wa kike unakuwa kwenye hatari Zito kama JF inayo na Zito anayo, implication ni kuwa Zito kaitoa kabra ya kamati, angarieni maneno jamani mwenzenu huyo ataponzeka hivi hiiiviiiii