Ulisoma kile alichosema balozi wa US kipindi kile issue ya Balali ikiwa moto kwenye media bongo? Marekani walikuwa tayari kusaidia kumleta Balali TZ lakini serikali ya CCM kama kawaida yao waka ...........
Zitto hakuwa bungeni wakati huo.... wabunge waliokuwa bungeni wa upinzani na wachache wa ccm walijaribu bila mafanikio kuunda kamati huru ya bunge kwenye hili.
Katika hili Zitto hawezi kujibu maswali yako maana hana power ya kutoa content ya kilichomo kwenye report mpaka aliyeunda tume/kamati atakapoitoa rasmi.
Kwa sasa Zitto atakachofanya ni kusubiria tu kama wewe na mimi kuona Kikwete atafanya nini na report ya kamati yake aliyoiunda kwa mbembwe nyingi.
Ukiwa mpinzani nadhani huwezi ukapinga kila kitu .Kuna maamuzi na utashi wa mtu.Zitto kama Watanzania wengine amekuwa akiamini kwamba JK can make changes , maana hata kuna wengine hapa piga ua wanasema CCM safi angalau yeye anasema JK can do something .Kuna usemi tata hapa .Kwamba JK ana nia njema na kaonyesha nia .Mimi naupinga muda wote .Zitto anaamini JK ana nia njema so anampa nafasi yake je ni ubaya kwa Zitto kumetetea mtu anaye weza kuamini kwamba anaweza kufanya jambo ? Uhuru huu jamani wa mtu .
Tanzanias Threshold Program will improve the ability of civil society to monitor the governments progress in combating corruption; strengthen the rule of law so that corruption cases can be successfully tried and offenders convicted; establish a Financial Intelligence Unit to detect financial crime; and increase the transparency of public procurement. The U.S. Agency for International Development, assisted by the Departments of Treasury and Justice, will administer and oversee implementation of the program. Tanzania will move ahead to implement its Threshold Program following a period of Congressional notification and a signing ceremony, scheduled to take place in Washington, DC.
Hiyo ripoti ameshakabidhiwa rais. Kila mtu anasubiri rais aitangaze. Nilipokuwa Bongo nilipata nafasi ya kuzungumza na Mzee Mark Bomani. Kuna mambo mazito humo subirini tu. Tume imefanya kazi yake na rais ameshapewa.Kwa sasa Zitto atakachofanya ni kusubiria tu kama wewe na mimi kuona Kikwete atafanya nini na report ya kamati yake aliyoiunda kwa mbembwe nyingi.
Hiyo ripoti ameshakabidhiwa rais. Kila mtu anasubiri rais aitangaze. Nilipokuwa Bongo nilipata nafasi ya kuzungumza na Mzee Mark Bomani. Kuna mambo mazito humo subirini tu. Tume imefanya kazi yake na rais ameshapewa.
Mkuu Jasusi
Baada ya ripoti ile kuwekwa mezani kwake katika kuta za Ikulu nimenasa info kwamba hatayasema yote ambayo akina Zitto wameambiwa na wananchi .So tutegemee porojo na ngoma kuishia hapo .Yaliyomo ni mazito na yanaweza kweli kuimaliza CCM maana ndiyo wako madarakani .Nime bahatika kupata rough report si kamili .Mama yangu twafa .
Hiyo ripoti ameshakabidhiwa rais. Kila mtu anasubiri rais aitangaze. Nilipokuwa Bongo nilipata nafasi ya kuzungumza na Mzee Mark Bomani. Kuna mambo mazito humo subirini tu. Tume imefanya kazi yake na rais ameshapewa.
Mkuu Jasusi
Baada ya ripoti ile kuwekwa mezani kwake katika kuta za Ikulu nimenasa info kwamba hatayasema yote ambayo akina Zitto wameambiwa na wananchi .So tutegemee porojo na ngoma kuishia hapo .Yaliyomo ni mazito na yanaweza kweli kuimaliza CCM maana ndiyo wako madarakani .Nime bahatika kupata rough report si kamili .Mama yangu twafa .
Jasusi unataka tukumbuke kumsubiri Mh Rais atoe ripoti halafu tumsahau nani?
kwenda zako huzijui sera za vyama hivyo na wala hujazisoma manifesto zao mf. za 2005 ndio maana unakimbilia kusema havina sera nzuri za kilimo, wewe na shy sawasawa tuNaona kuna watu wengi pamoja na mimi huwa hatukubaliani na maswala unayowakilisha.Leo naunga mkono ka-part...
Lakini hili jambo la upinzani kutokuwa na policy mpya kinanikera sana. Maana wao ukiangalia sana ni critic of the government of the day...hio ni wajibu wao lakini mbona hawatoi mbadala?
Uti wa mgongo wa Tanazania ni KILIMO lakini hakuna hata chama kiwe CCM au wapinzani ambao wana sera nzito ya kilimo na kuweza kutunyayua sisi wakulima into new century.