Upishi wa keki

Upishi wa keki

qtie

Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
33
Reaction score
11
Habari naomba kujua kama bakingsoda ni muhimu kwenye kupika keki au naweza kutoweka. Najifunza kupika keki.
 
nenda jukwaa la mapishi mkuu
available
 
Huku sio kwenyewe mkuu nenda jukwaa la mapishi
 
Habari naomba kujua kama bakingsoda ni muhimu kwenye kupika keki au naweza kutoweka. Najifunza kupika keki.
Umeshaandaa mahitaji yote nikufahamishe kazi yake?
 
Back
Top Bottom