Meanwhile try GoogleBado nasubiria wafike Bibie
Asante
Shikamoo bibi,Unaweza kumchoma, kumkaanga, kumpiga chuku chuku.
Bei inategemea na ukubwa na aina ipi ya lobster. Linganisha na bei ya kuku wa kienyeji kwa Dar.
Kwa details zaidi za mapishi, bi @farhina atakusaidia. Mimi nnajuwa kumpika lakini to go into details, fanya hivi fanya vile si fani yangu.
Shikamoo bibi,
Naona Magu anakanyaga twende, Ndalichako ndo usiseme,
Aaahhh nyimbo ya marehemu Komba itakuhusu sana.
Unajuwa kupika lobster changia mada la hujuwi sepa na tukutane jukwaa la siasa, hapa ni mahanjumati tu.
Punguani wahed.
Kikongwe usimaindi mwache Magu akanyage twende,Unajuwa kupika lobster changia mada la hujuwi sepa na tukutane jukwaa la siasa, hapa ni mahanjumati tu.
Punguani wahed.
Ajuza kwako umepika nini leo?
Halafu...bado una hamu?