wakuu
Amehitimu mwaka huo diploma na matokeo odio kwanza yametoka wiki iliyopìta. Wakati akiaply chuo thru Cas, anadaiwa namba ya cheti na anatakiwa pia akiupload cheti, na vyeti hawajapatiwa. Swali ni je afanyaje?