Tetesi: Upo iwezekano kundi la waasi huko Urus kuungana na Jesho la Ukraine

Tetesi: Upo iwezekano kundi la waasi huko Urus kuungana na Jesho la Ukraine

Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo uanafurahisha.
Jana tu ukraine kapoteza askari 200+ na armoured vehicle 19,kichapo huko usipime
 
Kitendo cha kiongozi wa wigner na makamu wake kufaa katika ajali ya ndege huenda kimepelekea masalia ya wigner kujitenga
 
Mfano alioutoa puttin kwa kiongozi wa Wagner sidhani Kuna atakae jaribu
 
Back
Top Bottom