W Wasomba JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 418 Reaction score 568 Aug 17, 2024 #1 Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo yanafurahisha.
Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo yanafurahisha.
Sinoni JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 6,581 Reaction score 11,572 Aug 17, 2024 #2 Hata zelensky hana mawazo kama yako.
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Aug 17, 2024 #3 Wasomba said: Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo uanafurahisha. Click to expand... Jana tu ukraine kapoteza askari 200+ na armoured vehicle 19,kichapo huko usipime
Wasomba said: Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo uanafurahisha. Click to expand... Jana tu ukraine kapoteza askari 200+ na armoured vehicle 19,kichapo huko usipime
J JR 16 JF-Expert Member Joined Oct 10, 2023 Posts 862 Reaction score 2,269 Aug 17, 2024 #4 Kitendo cha kiongozi wa wigner na makamu wake kufaa katika ajali ya ndege huenda kimepelekea masalia ya wigner kujitenga
Kitendo cha kiongozi wa wigner na makamu wake kufaa katika ajali ya ndege huenda kimepelekea masalia ya wigner kujitenga
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 2,748 Reaction score 5,112 Aug 17, 2024 #5 Wasomba said: Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo uanafurahisha. Click to expand... Wanaasi nini ? Jina la kundi ?
Wasomba said: Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo uanafurahisha. Click to expand... Wanaasi nini ? Jina la kundi ?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 17, 2024 #6 Itakuwa ni jambo jema sana
Ustadh tongwe JF-Expert Member Joined Nov 22, 2020 Posts 717 Reaction score 1,903 Aug 17, 2024 #7 Mfano alioutoa puttin kwa kiongozi wa Wagner sidhani Kuna atakae jaribu