Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Ila mi niligoma hata nyama ya kawaida nikawa nahisi watanilisha na nyama za viumbe ambao siwaelewiHahahaaa. Niliona video moja hiyo yaani hawa madereva wa magari makubwa wanakulaga sana hizi nyama aiseee.
Wanakaushiwa kisha wanauziwa nikasema. Duuhh.
we wakishua kila siku nakwambia huhitendei haki kwamtogole kwa kuitaja taja bure😀😀😀Kwamtogole, Dar
Sawa mkuu uvumilivu hutoa matunda halisiKweli kamanda ngoja tuvumliane, tu hamna namna
Tena nimezungukwa na ma baunsa
We ukwaju wee...
Kweli?Ontario, Canada
Huamini?Kweli?
hakika wewe mambo safi sana, kuna muda ulikuwa UK, hebu njoo pm tupeane michongoOntario, Canada
Ujue nna maana yangu kukuliza!!Huamini?
Kawaida sana mkuuhakika wewe mambo safi sana, kuna muda ulikuwa UK, hebu njoo pm tupeane michongo
Maana gani?Ujue nna maana yangu kukuliza!!
hongera mkuuKawaida sana mkuu
Ha ha peaneni michongo hapa hapa boss.hakika wewe mambo safi sana, kuna muda ulikuwa UK, hebu njoo pm tupeane michongo
Sante 😛hongera mkuu
Ni muda gani I mean saa ngapi saa hizi hapo OntarioMaana gani?