Weeeeeehwewe kimbizana na nyaginzako tu
Sina kirembioremba mwandiko kwanza.....
Me mgen humu nina siku mbili tuId yako ya zamani ni ipi tafadhali?
Uliweka mzigo nini.
Kitandani tu...maana naona hakielewekiunakimbilia wapi bbade!
RussiaUnaenda wapi
D hayupo kasafiriacha bwana... Diamond umemwaha wapi
Nakupashia kitanda moto...oouh machale yalinicheza umetoka... kumbe bado u ndani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duuu awa croctia mbn wanafny mkoj unabana kila mda
pole, haya tangulia ss ngoja tumalizie huu mtanange...Kitandani tu...maana naona hakieleweki