Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Mbona mida ya SAA tatu uliniambia ndio unalala sasa sahv unafanya nini huku D please kalale haraka sana
Huku marekani ni asubuhi bado sasa. Huko nyumbani kwani saa ngapi sasa?
 
hawezi kuoa yule labda analea michepuko imemzidia

usimwambie nimesema hivi
[emoji4] [emoji4] kaka angu bado yupo yupo kwanza!
Mchepuko huyu wa sasa hapana kwa kweli!zaidi ya kuadimika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…