Hahahaaaa nibadilije kivp nimekua kinyonga? Embu msinivunje mbavu miekwanini kila siku unabadilika?
Umeona eeehh...Daby umeharibuuuuuHeeee[emoji15]
Huwa napenda kuchokoza tu watu humu.Kumbe ndivyo ulivyoo
Na kukaangwa km maandazi au samaki shurti ageuzwa pande mbilianawekwa kwenye karai... si unaona Asprin naye katulia.
Itabidi unibembeleze kama ni hivyocroatia, haya nenda kalale.
Bakia na Tamu yako...haina mdudu ina tamu tu usiogope
Namshangaa kanifananishaUmeona eeehh...Daby umeharibuuuuu
subiri mpira uishe...dk za hatari hiziItabidi unibembeleze kama ni hivyo
Walaaa...miye si watanga ati!khaah watu wa pwani nyie... hivi nawe umetokea Tanga?
Siwez tia MTU majaribuni ila watu hua wanajitia wenyewe majalibun tena kwa miguu yake miwiliunatutia majaribuni kaka zako... tusije jichanganya tukaja.
Halafu Mbao , Mawe Yuko wapi siku hizi?Huwa napenda kuchokoza tu watu humu.
Nyau wa Mello wewe.Halafu Mbao , Mawe Yuko wapi siku hizi?