Nilindie geto yangu naona muda uko mbio sana kama Usain BoltWaoooh ndo maana nakupendaga sana
Kitandanihili hapa ulikuwa unakimbilia wapi?
Kweli tena kupo dorooo[emoji16] [emoji16]
ndo kama hivi umeanzisha tumepata pa kushika[emoji1]....sasa tunafanyaje sasa?
Napita tu
Kumbe ndivyo ulivyooIkitokea hivyo huwa natafuta uchokozi na mtu akini-quote tu kazi anayo nitapeleka nae hadi nimalize siku yangu.
bado[emoji1]Hujawahi kukutana na balaa langu?
NyokoloooNaombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu
Nichangamshe hapa sasatatizo hamtoi muda wa kuchangamshwa
Omba ligi na GentaHapana wewe huwezi ligi.