Upo uwezekano mkubwa Rais Magufuli hatoivusha Tanzania salama

Ingekuwa nchi za “wajanja”hizi media zote zingepigwa kiberiti
 
Full kupanic kupanic....kuondoleww madarakani sio hali ya kawaida. Unatamani amayesababisha umnyonge tu apotee. Lakino sasa utanyionga wangapi.. hapo ndio vita huinuka.
 
Huyo ni speaker tu memory kadi iko kwa Mabeberu
Lissu sasa is beyond control. Vyombo mnazima.kwa sababu yake. Mnazidi kuwapa watanzania sababu ya kwanini Lissu anafaa. Yaani watanzania wengi vijijini wanapenda sana BBC na DW leo kwa sababu ya Lissu mnavifungia Indirectly?? Full kupanic
 
Hili limenishangazaa
 
Mmmh! Kwa mbaali namkumbuka TB Joshua alipokanyaga ardhi ya Tz mara tu baada ya matokeo ya uraisi 2015.
 
Huyu uchwara anatutanguliza fronti safari hii.
Ngoja tumsikilizie Aristoto Kai jagi
 
Lissu sasa is beyond control. Vyombo mnazima.kwa sababu yake. Mnazidi kuwapa watanzania sababu ya kwanini Lissu anafaa. Yaani watanzania wengi vijijini wanapenda sana BBC na DW leo kwa sababu ya Lissu mnavifungia Indirectly?? Full kupanic
Yaani walivyo kuwa hawana akili wanashindwa kabisa kutambua kwamba matendo yao hasi wanayo mfanyia lissu ndio yanazidi kudhihirisha kuwa wao ndio waliompiga zile risasi
 
Jamani wehu ni bahati mbaya tu inayompata mtu na sio sifa nzuri kwenye jamii hadi muikimbilie na kuiwania hivi. Mtu yeyote mwenye akili timamu sisi watanzania ni wa Magufuli. Hivyo vidogoli vyenu mkavitafutie eneo jingine la kuchezea.

MAGUFULI4LIFE.
 
Kama ni washauri hatujuwi kama alishauriwa akakataa pia mm sijuwi ila kila mtu atatafuta msikiti na kanisa asali na kutubu maana dhambi ya unafiki sasa ina tutafuna wenyewe. Ni do or die. God remember your people of this nation
 
Tanzania ni zaidi ya Magufuli. Hivyo tuendelee tu kuiombea Nchi yetu ili hayo majaribu kamwe yasije kutokea.

Ila kwenye suala la maslahi ya Wafanyakazi, hakika Rais tunaye. Miaka mitano sasa, bila bila.
Ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…