Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu.

Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

I mean kila mtu anakuwa na professional yake, lakini pia kuna ile unakuwa upo vizuri kwenye sekta au kitu fulani. Mapenzi, ngumi, umbea, uchawi, Udangaji,ujambazi, wizi, soka, pombe, technology, siasa, kwa mpalange, elimu, riadha, kuongea sana, muziki

Na mengine mengi..

Je, na wapi upo vizuri sana?
 
Back
Top Bottom