We lala tu mamaaNipo nyumbani,nina usingizi kinyama na sina sababu ya msingi ya kutolala
Pambana hadi mbegu zikateNyumbani nagonga PES2021 na bebe
[emoji38][emoji38][emoji38]Niko baharini nawinda papa
Nakusubiri feriNiko baharini nawinda papa
Bila shaka unaingiza extra duty tugawane mkuuNiko ofisini..
[emoji23][emoji23][emoji23]
Next weekend nistue tutokemkuu leo nipo tu sijatoka na sina mtoko hata baadae
[emoji1756][emoji1756]Safi sana, inapendeza...
Kula kukuNikila "mbusi" napata "masara"! Allergic to mbusi!
Duh! jamaa ungenisubiriFrom Dom to Dar!
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
Sisi wazee tushatoka hukoNimezimiss sana games kiukweli. Soon narudi aisee.[emoji452]
I hope uko macho sa hiiKazini, Walinzi hatunaga weekend.
Gospel au singeli?Nipo jukwaani naimba Mkuu walau wanitunze kidogo juma3 iwe nyepesi upande wangu.
Ndio mkuu, najiandaa kukabidhi lindo hapa.I hope uko macho sa hii
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] Mambo yenu ya giza hadi sa hii hamjalala[emoji23][emoji23][emoji23]Eewaaah...!