Upo wapi muda huu na unaburudika na nini?

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Mimi babu wa maraha nipo zangu nyumbani nimetulia kabisa huku nikiburudishwa na Aurlus Mabele, huku home theatre likiunguruma.

Ukweli mchungu zamani kulikuwa na muziki haswa, sio kelele za siku hizi, yaani nimejikuta kama sidaiwi hivi kumbe nina madeni tele, lakini hii play list inanifanya nijione nipo huru kabisa.

Liputa
Mayday
Huku Mabele akiwa katalawa kwenye playlist.

Wewe upo wapi muda huu na unaburudika na nini.
 
Mimi???
 
Kwa Tunza Beach
Napata upepo mwnana wa Victoria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…