Forecaster
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 201
- 116
Jay melody, anaimba muziki wa Burundi?Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa, anasema Muziki wetu umepotea na ulibakia kwa Msondo na Sikinde na aoni wa kuundeleza... Nini kifanyika kuunzi muziki wa Kitanzania na tuwe na Mziki wetu wa Kitanzania..,,
Bado wengi wanaimba sawa lakini hakuna vionjo vya music wetu autotune zinatumika sana...Jay melody, anaimba muziki wa Burundi?
Mtu anaimba kinachompa hela hayo mengine achana nayo.Bado wengi wanaimba sawa lakini hakuna vionjo vya music wetu autotune zinatumika sana...
Wangapi wanaofanikiwa? Uhalisia wachache sana na wasanii wetu wengi sana mziki wao hauna uwezo wa kutoka nje ya Tanzania sababu umekosa ile Originality.Mtu anaimba kinachompa hela hayo mengine achana nayo.
Haiwezekani msanii awekeze mfano milioni 10 kuandaa kazi atakayopata laki saba wakati anaweza imba amapiano akawekeza milioni 5 akavuna milioni 15.
No free lunch in America.
Usemayo ni kweli ila kila zama na kitabu chake.Wangapi wanaofanikiwa? Uhalisia wachache sana na wasanii wetu wengi sana mziki wao hauna uwezo wa kutoka nje ya Tanzania sababu umekosa ile Originality.
Ingia Youtube msearch Bi kidude, ana nyimbo zimezidi views Milioni 30, Soma Comments utaona Dunia nzima wapo wanamuangalia, sababu Mziki aliofanya ulikua Unique, Huyu Bibi alikua na Uwezo wa kupiga Show popote Duniani mwenyewe na kujaza. Nani kwetu Nchi hii anaweza bila Kufanya Collabo na wenyeji?
Yani katika jambo lolote afanyalo mtu yeyote, ukishanguliza fedha mbele hufiki mbali, Katika Mziki lazima mtu uwe creative sana, upende kazi yako na uwe proffessional hata kama siyo ya darasani basi uweze kuweka ubunifu wa hali ya juu. Kuna wanamuziki kama Miriam Makema, Oliva Mtukuzi, Faya Tess, Fally Pupa na wengineo wamefika mbali...Wangapi wanaofanikiwa? Uhalisia wachache sana na wasanii wetu wengi sana mziki wao hauna uwezo wa kutoka nje ya Tanzania sababu umekosa ile Originality.
Ingia Youtube msearch Bi kidude, ana nyimbo zimezidi views Milioni 30, Soma Comments utaona Dunia nzima wapo wanamuangalia, sababu Mziki aliofanya ulikua Unique, Huyu Bibi alikua na Uwezo wa kupiga Show popote Duniani mwenyewe na kujaza. Nani kwetu Nchi hii anaweza bila Kufanya Collabo na wenyeji?
Sure, wapo wanamuziki ambao ni wakubwa sana ambao wanawakilisha asili yao. Ni kama kwenye biashara usipoweza kujenga jina na kulinda wateja huwezi kufika mbali. Sijui nani anaweza kurudisha mziki wetu...Wangapi wanaofanikiwa? Uhalisia wachache sana na wasanii wetu wengi sana mziki wao hauna uwezo wa kutoka nje ya Tanzania sababu umekosa ile Originality.