Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Habari.nilihabarisha hapa juzi na leo nakumbushia.kata ya mshangano mtaa wa mshangano manispaa ya SONGEA watu wengi wanajisaidia porini kuelekea uwanja wa mpira ukipita pale pananuka Sana na hilo linafanyika si kwamba choo ya kulipa hakuna ipo.si hilo tu pale uwanjani watu wanacheza kamali,kuvuta bangi pia.hakuna kizimba cha taka sasa pale stendi ya malori taka zipo nyingi nadhani watu wa afya wanasubiri ulipuke ugonjwa ndio mchukuwe hatua?nauliza mabwana na mabibi afya mpo?