Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Mapenzi upofu sio suala la mmoja karibu wote tuna huo upofu ila usikubali ukufanye mjinga hapo utakuwa umefeli .
Upofu wa mapenzi ni pale ambapo huoni wanayoona wengine kwa umpendaye na hata ukiona utajifariji kwa sababu mbili tatu.
Ujinga ni pale ambapo unaona kabisa dalili za hatari ila unatafuta sababu za kujifariji au kusema atabadilika mbeleni na mara chache sana hutokea ila wengi wao huwa wanajikuta pabaya hiyo mbeleni.
Ujinga huwa unaisha ukipigwa tukio ndio unakumbuka kuwa uliona ila Ujinga ukawa juu zaidi ya upofu sasa mpaka ufikie hatua hiyo madhara yanakuwa makubwa tayari.
KATAA UJINGA USIKUBALI UPOFU WA MAHUSIANO UKUFANYE MJINGA
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako