Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

Ki English chako hakiko sawa pia. All the Lawyer. What matter....
Kati ya Watanzania waliosomeshwa Kiingereza vizuri na watanzania nami nimo
 
Kati ya watanzania waliosomeshwa kiingereza vizuri na watanzania nami nimo
Hongera. Try to recheck your grammar before sending a chat. Proof reading is a very basic practice to show that your are smart. Ni wazo tu.
 
Unateseka sana chief. Angalia usije kufa kwa ugonjwa wa moyo ukipigania usichokielewa
 
Huyu kiumbe anamchukia sana Mbowe, sijui alimkosea nini wakati Mbowe hajawahi kuwa hata kiongozi wa serikali!
Unateseka sana chief. Angalia usije kufa kwa ugonjwa wa moyo ukipigania usichokielewa
 
It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.
"... what MATTER is... " 🙄 "Copy and paste" is easier than writing own words. Grammar failed you, learned bro! 😁
 
 
Kibatala ni wakili msomi pekee hapa afrika aliye kama shahidi akiwa na kibuti mahakamani.
 
ARE YOU A LAWYER??? au umeandika upate 7000
 
Why are you wasting your time with a "novice" lawyer; unless you're deranged!
 
Kwa msingi huo Kibatala ata shindwa hiyo kesi , hivyo anza kushangilia huo wahindi. Na kwa Mantiki hiyo mawakili wa Serikali na Mashahidi wao wanazidi Kibatala.
N.a. ninakumbuka kuna moja alisema tuite Koleo ni Koleo na Sio kijiko kikubwa
 
Based on this jabbering and rumbling presentation alone, if you are a lawyer, then you must be a very rouse one!
 
Watakao kupinga hawajakuelewa....
Umemzungumzia Kibatala alone ..
Wala sio defensive team ya Mbowe yenye lawyers wengine ...
Na maana hasa ya kumlenga Kibatala ni ipi kama sio kuwanyima utulivu wanaomtakia mteja wake maovu!
Inaeleweka, kwa baadhi ya watu kama huyu 'comte' kufikiri kuwa kusifu kazi nzuri inayofanywa na hasimu ni dhambi, kwa hiyo hutafuta kasoro zisizokuwa na nguvu zozote kwenye maamuzi ya kesi ili mradi tu kuifurahisha nafsi yao.
Wanasahau kwamba wanavyofikiri wao sio wanavyofikiri wengine wanaosoma na kuelewa maana ya wanayoyaandika kwa uchungu moyoni.
 
Mimi ninakushauri badala ya kumzungumzia Kibatala ungezungumzia umuhimu wa kesi hii ambayo mpaka sasa upande wa mashitaka haujaweka hadharani vitendea kazi vya ugaidi zaidi ya mizunguruko ya mjini Moshi mpaka Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…