Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

Safi Sana Kibatala Oyeeee. Namkubaki huyu mwamba. Unajua Ujaji NI cheo Tu. Ungekuwa majaji wanajiteua wenyewe Kibatala ANGEKUWA Jaji
 
Utabaki kusema HIVYO. Narudia tena ungekuwa majaji wanajiteua wenyewe ninauhakika ANGEKUWA jaji
 
Sehemu kubwa ya wanasheria wetu ni empty kabisa, bali sifa ya kuwa wanasheria tu. Kama defense attorney anauliza swali ambalo ni argumentative, na speculative inabidi state attorney aweke objection. Sasa iwapo state attorney naye analala mpaka maswali ambayo ni argumentative, speculative , vague and ambiguous yanaingia kwenye court proceedings basi pande zote mbili zinapwaya.
 
Wewe unatoa povu humu na jina bandia unakuja kumkosoa Kibatala jinga kabisa
MANJI AMKATAA WAKILI KIBATALA KORTINI

NA KULWA MZEE
-DAR ES SALAAM

MFANYABIASHARA Yusufali Manji (41), anayekabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi, amekataa mbele ya mahakama kutetewa na Wakili Peter Kibatala, kutokana na kile alichosema ni sababu za kisiasa.

Manji alitoa kauli hiyo jana mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu, Isaya Arufani, kabla hajatoa uamuzi wa kutupilia mbali ombi la dhamana la mfanyabiashara huyo ambaye sasa inabidi akaitafute dhamana Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.

“Mheshimiwa Jaji, nilipowasilisha maombi ya dhamana nilimpa maelekezo Wakili Joseph Thadayo aniwakilishe, lakini nilishangaa kesi ilipokuja kusikilizwa Wakili Kibatala alikuja kuniwakilisha.

“Sitaki kuwakilishwa na Kibatala kwa sababu za kisiasa, nitakuwa nawakilishwa na Wakili Alex Mgongolwa, Hudson Ndusyepo na Seni Malimi,” alidai Manji.
 
Wew jamaa subiri siku ujichanganye serikali ikuundie zengwe kama hili ndo utajua hujui. Mawakili wa utetezi wanatumia mbinu zao zote ili kuwachekecha Polisi watoe ushahidi wa ukweli.
 
Uko sawa mkuu- tunashida kila sehemu bahati mbaya hatutaki kusemwa wala kujisema
 
Wew jamaa subiri siku ujichanganye serikali ikuundie zengwe kama hili ndo utajua hujui. Mawakili wa utetezi wanatumia mbinu zao zote ili kuwachekecha Polisi watoe ushahidi wa ukweli.
Mkuu mbona unaleta mambo ya mbali- mimi siko huko - hoja yangu hapa inahusu uadilifu wa Kibatala kama wakili kutokana na mwenendo wake kwenye kesi anapowauliza mashahidi- NINASEMA HAUKO SAWA. ANA MAPUNGUFU. Akiyatibu mapema anaweza kuwa wakili mzuri; kwa sasa BADO.
 
Kibatala bado ni wakili mzuri sana. Sifa ya wakili mzuri ni kucheza kulingana na staili ya mpinzani wako. Kama shahidi kashikwa na simu, notebook na peni akijaribu kukariri ushuhuda aliopikiwa unategemea nin? Polisi wanasema waliwasafirisha watuhumiwa (tena wa ugaidi) kwa amani kabisa kutoka Moshi hadi Dar! Hii haihitaji akili ya Kibatala kujua ni "cooked data". Polisi wa Tz hawezi kukusafirisha kishkaji hivyo, ukweli ni kwamba jamaa waliteswa
 
Sasa rudi kwenye mada yako kuu hapo juu.

Hii ndiyo inayomfanya Kibatala awe 'novice lawyer'?

Unaacha 'substantive issues' unakimbilia maswala ambayo hayana uzito wowote, halafu una-'disparage' uwezo wa wakili juu ya hilo?

You got a none issue agenda that merrits no further waste of time.
 
Real?
 
Sidhani kama kibatala ana kesi yoyote zaidi ya kuwakilisha CHADEMA
 
Takataka imeandika kidhungu,pala hakuna kesi ni kupoteza muda tu
 
huu uzi inabidi usome ukiwa na google translator[emoji16]
 
It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.
Jinga la wiki
 
It does not matter, what matter is that it is improper for a lawyer to call a witness a liar; all the lawyer has to show is pointing to the lies that is established and that can be done in the final submission.


In this case, If a witness speaks truths will it be proper to call him a truthful ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…