Wewe ni Bush Baby sory Bush lawyer. Tunaweza kukujibu kwa lugha unayonukuu lakini acha tukujibu kwa lugha ya taifa. Usidanganye watu kwa vijineno vya rejareja kwamba lies zinatakiwa kuwa established wakati wa final submission, lies zinatakiwa kuwa established kwenye cross examination na kuhitimishwa kwa msisitizo wakati wa final submission. Kasome tena desa ulilopewa.