Mejasoko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 298 Reaction score 600 Feb 3, 2025 #1 Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira Attachments IMG-20250202-WA0013.jpg 54.4 KB · Views: 2
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 3, 2025 #2 Mejasoko said: Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira Click to expand... Lakini hapa pametengenezwa kazi mpya ya drone operator.
Mejasoko said: Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira Click to expand... Lakini hapa pametengenezwa kazi mpya ya drone operator.
Mejasoko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 298 Reaction score 600 Feb 3, 2025 Thread starter #3 Kiranga said: Lakini hapa pametengenezwa kazi mpya ya drone operator. Click to expand... Hiyo imekua 2-1 steel technology inapunguza nyingi na kuongeza chache
Kiranga said: Lakini hapa pametengenezwa kazi mpya ya drone operator. Click to expand... Hiyo imekua 2-1 steel technology inapunguza nyingi na kuongeza chache
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Feb 3, 2025 #4 Mejasoko said: Hiyo imekua 2-1 steel technology inapunguza nyingi na kuongeza chache Click to expand... Ni kujipanga tu. Kumiliki drone ni rahisi kuliko kumiliki helicopter , kwa hiyo watu wengi zaidi wanaweza kufanya hiyo kazi. Hapo teknolojia imeongeza fursa za ajira.
Mejasoko said: Hiyo imekua 2-1 steel technology inapunguza nyingi na kuongeza chache Click to expand... Ni kujipanga tu. Kumiliki drone ni rahisi kuliko kumiliki helicopter , kwa hiyo watu wengi zaidi wanaweza kufanya hiyo kazi. Hapo teknolojia imeongeza fursa za ajira.
Wauzaji wa containers JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 615 Reaction score 1,443 Feb 3, 2025 #5 Gharama ya kupiga picha ukiwa katika helicopter na kuwa drone operator wapi panaongeza Ajira? Kuna drone operator wangapi ukilinganisha na wapiga Picha wa kwenye helicopter?.
Gharama ya kupiga picha ukiwa katika helicopter na kuwa drone operator wapi panaongeza Ajira? Kuna drone operator wangapi ukilinganisha na wapiga Picha wa kwenye helicopter?.
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Feb 3, 2025 #6 Ajira hazipotei, Zinakua transformed tu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 4, 2025 #7 Duh aiseee