Alwatanbhai Member Joined May 1, 2013 Posts 74 Reaction score 78 Jul 14, 2019 #1 Habari wakuu,Ninatatizo la ndevu kuota upande mmoja ila awali zilikua zinaota sehem yote ya kidevu,wataalam tatizo nini naomben msaada.
Habari wakuu,Ninatatizo la ndevu kuota upande mmoja ila awali zilikua zinaota sehem yote ya kidevu,wataalam tatizo nini naomben msaada.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Jul 14, 2019 #2 Hizo ndevu zinapita kwenye kipindi kigumu hivyo zinahitaji umakini ili zisije kukosea kama zilivyokosea awali.
Hizo ndevu zinapita kwenye kipindi kigumu hivyo zinahitaji umakini ili zisije kukosea kama zilivyokosea awali.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jul 14, 2019 #3 Duuuh hyo ni dalili ya kupata utajiri mkuu endelea kuzifuga usinyoe
Alwatanbhai Member Joined May 1, 2013 Posts 74 Reaction score 78 Jul 14, 2019 Thread starter #4 fundi bishoo said: Duuuh hyo ni dalili ya kupata utajiri mkuu endelea kuzifuga usinyoe Click to expand... Ahahhaa nisaidie mkuu napata tabu
fundi bishoo said: Duuuh hyo ni dalili ya kupata utajiri mkuu endelea kuzifuga usinyoe Click to expand... Ahahhaa nisaidie mkuu napata tabu