Upotoshaji katika hotuba ya Rais Magufuli tokea Chato

Lockdown kaeni Nyie chadema msiojitambua

Ukitaka kuwaambia hayo wafuate CHADEMA waliko. Ukiwatafutia huku utakuwa unajilisha upepo bure mkuu.

Kumbuka meko anajua wapo wanaendesha ma STK na wanaopendekeza lockdown. Au hukusikia kwenye hilo mkuu? Wapo wengi tu serikalini na kwenye vyama vyote CCM wakiwamo wasiokubaliana na unachokisema.

Corona haina chama wala siyo siasa.
 
Kwa ulichokiandika
1. Nakufananisha
na mtoto wa shule ambaye ukiomba Ada baba akikuambia 'SUBIRI MWISHO WA MWEZI', unanza kulia na kuzira.
2. Unajua vyanzo vya Ela vinavyosaidia kulipa hiyo mishahara..je wahisi havitaayhirika wakifanya
3. Kama Marekani na Spain wameona lockdown inawatafuna uchumi na kufikiria kuachana nayo..Kuna kitu gani special kwa hao Uganda na SA?
6. Unajua maana ya prototype na reverse engineering? He hiyo mimea unajua species zake.?
 
Kwa ulichokiandika
1. Nakufananisha
na mtoto wa shule ambaye ukiomba Ada baba akikuambia 'SUBIRI MWISHO WA MWEZI', inaanza kulia na kuzira.
2. Unajua vyanzo vya Ela vinavyosaidia kulipa hiyo mishahara..he wahisi havitaayhirika wakifanya

Hotuba kama ile ni walaji (consumers) wenye upepo wa kifikiria kama wewe. Watu mnaopanga panga ya kesho kumbe twafa leo.

Kabla ya kufikiria hiyo ada ya shule tambua hivi kuna gonjwa hatari lenye kukuuwa hata kabla ya kuuombwa hiyo ada ya shule.

Ujinga ni mzigo. Ila kwa kuwa huwezi kuliona hilo, endelea kupiga nyungu mkuu. Hivi ile wiki pendwa ya nyungu inakwisha lini?
 

Ninaona hata uchambuzi wako mkuu unabiases. Tunaomba utupe takwimu za kitaalam. Ni kwa kiasi gani kutokufungia Watanzania ndani kumesababisha ongezeko la madhara ya Corona kwa Watanzania? Tungefungia ndani watu hali ingekuwa bora kwa kiwango gani?

Mfano wako ulinganishe na nchi nyingine ya aina yetu yenye population size inayokaribia na 60m.

Zaidi ya lock down, ni kipi hasa unacholalamika ambacho raisi wetu angefanya katika kuboresha hali zetu?

Unapoandika mada kwa msukumo wa mihemuko na preconceptions inakuwa dhahiri sana kwamba unalengo la kuvutia watu kwenye upande wako bila scientific justifications.

Jaribu kubalance maelezo yako.
 
hyo namba moja.ni nani atafungua maduka ya vyakula na magenge wakati kila mtu yupo kwake na hakuna kutoka nje?.
Umeona rwanda total lockdown yao?.
Sawa utaruhusu wauzaji wa maduka wafungue maduka na magenge.
HAO WANANCHI WATAKUWA NA HELA YA KUNUNULIA HVYO VITU WAKATI HAWAFANYI KAZI?.
Wakati wewe unawaza lockdown wenzio wameshaanza kutoka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu uko nje ya mada. Jikite kwenye hoja.

Uzi una nukuu zote tokea katika hotuba aliyoitoa mheshimiwa rais. Labda kama kuna nukuu unayoipinga.

Zaidi ya nukuu, nimeonyesha kwa nini alichokisema siyo kweli.

Angalia maswali yako yote yako nje ya hoja (irrelevant).

Kama una maswali nje ya mada kama hayo, mkuu fungua uzi mahsusi kwa hilo wengi watakuelimisha kama ni nia yako kufahamu.

Mihemuko unayo wewe mkuu kwani hata hujaelewa nini kinacho ongelewa kwenye uzi huu.
 

Wewe huwezi kunielewa. Acha wenye ufahamu wataelewa. Ninajua JF si LinkedIn.
 
Kaa wewe lockdown wakulungwa weeh
 
Safi kabisa!
 
hawa vilaza sometimes unatamani usiwajibu,lakini unagundua atadanganya wengine huko mtaani.

basi tu ni vile huwezi fanya jaribio la kishusha uchumi maana kuushusha nusu saa itachukua recov ya miezi kadhaa.

wataelewa tu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa wewe lockdown wakulungwa weeh

Ulichoandika kinahusiana nini kwenye hii mada? Wakulungwah utakuwa wewe whatever that means.

Hoja ina nukuu ambazo una haki ya kuzikanusha au kufafanua. Yote huna, huna hoja.
 
Wewe huwezi kunielewa. Acha wenye ufahamu wataelewa. Ninajua JF si LinkedIn.

Aliyekuja na ile semi ya nyani kutoona kund*** aliona mbali sana.

Uko vizuri mkuu kaza hapo hapo.
 

Pamoja sana mkuu.
 
Akifa shangazi yako akili ndio itakukaa sawa.Huyo mnaemfuata ye yuko chato kaji isolate bumunda wewe
shangazi akifa naye ni binaadam,hatuwezi kufanya maamuzi yenye hatma ya wengi kisa shangazi atakufa au bibi.

hata kama mnamshauri magu achukue maamuzi kisa mdogo wake yuko mtwara mtamfelisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo? Wazikumbuka nyumba za serikali alizogawa kwa ndugu na washikaji. Ununuzi wa ndege ........etc.
Hata hilo jina halikufai.
 
Weee si ubebe familia yako mkae quarantine mpaka COVID 19 itakapiisha.

Mmekaa VYUMBANI Dodoma na hayandio maupumbavu mnayotuletea humu?

Hivi mmeanza quarantine bila hata kupimwa sasa nani ambaye atawathibitisha wakati wakutoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono kuhusu yote isipokuwa sampuli fake zilizotoa fake results. Unamaana gani sampuli hizo zilikuwa contaminated, una uhakika gani? Kwani sampuli nyingine zote ziko contaminated au hizi tu? Una maana waliochukuwa sampuli hizo wana korona sio mapapai? Kwani hao waliochukua sampuli ni wataalamu au watu baki na wazembe wasio ogopa kuzigusa hizo sampuli kama walifikiri ni za watu?

Wengi hawajamuelewa Rais, ilibidi muelewe kuwa kuna utata wa vipimo, vinaweza kuonyesha positive wakati ni negative. Hata hivyo Rais mwenyewe hajaelewa kwa nini majibu ya vipimo ni ya uongo na kuwasimamisha kazi wakuu wa maabara badala ya kuwatumia kufanya uchunguzi. Mwisho wa yote ameonekana mpuuzi lakini wengi hasa nchi za jirani wanashukuru kwa ugunduzi wake, lakini wale wenye busara tu.
 

Pata vitu adhimu tokea kwa manguli wa maabara hapa:

Dkt. Festo Ngadaya: Sensitivity vs Specificity | Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…