Upotoshaji: Napinga uzi unao sema Diamond kamfananisha yesu na mwanamke

sawa mgalatia,hakuna mkristo mkurupukaji, mwenye matusi na dharau kama wewe. Soma nilichoandika soma na alichoandika jamaa. Hizo chuki na matusi yako hayakusaidia kitu.
"Heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu"
 
Mtetee na Ney wa mitego nae na ile nyimbo yake ya kutomtambua Mungu...



Cc: mahondaw
ile ya Ney wa Mitego ile ni sababu kibinadamu na Kiuhalisia wapo watu wanapitiaga magumu mpaka IMANI yao inatetereka na Kujiuliza Hivo kweli Mungu yupo? Mbona anaacha mambo yaende kombo na Watu Wema kupata Mateso na Mataabiko na Watu Wabaya na Makatili kutusua kimaisha? Hapo MTU anajiuliza "Why Me Lord?", "Lord where are you?"
Tangu Enzi na Enzi Hii ni kawaida kwa Binadamu wengi kujiuliza hayo wakati wa Mataabiko, Simanzi, Majonzi, Misiba, Magonjwa, Ulemavu, Vita etc..
Kama hujapitia maswaibu makubwa mpaka ukawa na shaka na IMANI yako basi huwezi elewa alichokiimba Ney wa Mitego.

Numbisa , mahondaw
 
Kwani hawezi kuimba bila kumtaja Yesu pili kwanini amfananishe Yesu na demu wake na mbona hapo asingeimba wewe ndiwe wangu mtume Mohammed sasa nasibu mbona unaniacha uone kama yasingetokea maandamano nchi nzima ya waisilamu kwamba jamaa amekufuru lakini kumbuka mtoto akimtukana jirani kama hasipo onya kuna siku pia atamtukana baba na mama yake
 
umesoma nilichoandika au unakurupuka tu ku comment???
 
Fact kaka achana na hao mambugira kazi kushadadia tu pasipo kujua fasihi.
 
Wewe nae ndo hautushitui Wana jf nowdays.
 
Wengi wanatumia mihemko,hawajui ukristo unataka nini....kuna utofauti mkubwa sana kati ya ukristo na uislamu
 
Tunakoelekea Diamond anaweza kutooga mwaka na kuanza kunuka lakini kuna mtu atasema ni Cologne/Perfume hiyo ametumia
Acheni utaahira ktk mambo yanayohitaji umakini...Acheni ushabiki maandazi
 
Uongo siku zote hupanda lift kwenda juu kwa haraka zaid,ila ukweli hupanda ngazi lakini huwa ndio mshindi...Jamaa na post yake ya upotishaji naona anaungwa mkono sana lakini huu uzi ambao ndio ukweli kuhusu wimbo wa diamond naona unasuasua.Jf tuwe makini sana na watu waovu wenye dhamira mbaya kwa wengine
 
Maada imeeleweka hatimae wenye chuki mmeumbuka
 
Kuna raia wanataka tu watu watibuane eti kisa diamond kamtaja YESU mara kamtaja PETRO..hizi mambo wanaziweza wavaa pekosi
YESU KRISTO ANAJITOSHELEZA, ANAJITETEA MWENYEWE, HAITAJI HURUMA ZA MWANADAMU KUMTETEA

JESUS IS LORD
 
Mpumbavu ni wewe tena taahira kabisa.Ulivyo na chuki mpaka maada huoni inazungumzia nini.Mtakufa na chuki zenu mavi nyie wakat kijana anazidi kuwa boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…