Upotoshaji: Napinga uzi unao sema Diamond kamfananisha yesu na mwanamke

Kwahiyo wewe ndio Diamond umekuja kutoa ufafanuzi sio...

Ujumbe wangu kwako ni kuwa, utungaji wako wa nyimbo ni uleule katika nyimbo zote. Badilisha basi,unless ni masharti ya Mganga
 
Huyu msanii tangu apitwe na zuchu kiuimbaji anazidi kuelemewa na muziki
 
Ndindio Ndoo akome alifikiri akimtaja yusu wakiristo watasema safi diamond sio mbaguzi matokeo yake kajikwaa anguka tu kwanza unatuaibisha kiimani
 
Mwambieni huyo Mondi..yeye muislamu mara ya pili anazungumzia..mwambieni tutamchapa
 
Huna point huo wimbo hauna tija na utamletea majanga tu
 
Kwanini wachukue maneno matano tu wakati sentensi ni zaid ya maneno matano?chuki,wivu na fitna ni sumu
Na hakika unahudhuria club zinapochezwa nyimbo za kidunia (circular).
Nitajie mwimbo wowote uliotaja neno "Yesu (Jesus)" unaopigwa club watu kucheza. Yaani mtu aite pisi yake "Yesu".
Ujumbe wa nyimbo unapelekwa kutokana na muktadha wa namna utakavyotumika na hadhira husika, bila kujali unaamini dini au la.
 
Hata mtume si aliwaacha maswahaba wake!

Kwanini hajatumia mfano wa mtume?

Naongea kama shabiki wa Diamond, masuala ya Imani yapo sensitive yeye atuimbie mambo ya misambwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…