Upotoshwaji Kuhusu ya Mahakama za Kadhi


.........ulipata wapi maelezo kuwa Mahakama hiyo itawashurutisha watu !
Tukisema kuwa 'Mahakama ya kadhi' ni ibada hamuelewi !.............hivi kuna Waislaam wangapi wa kuzaliwa Baba na Mama, Bibi na Babu lakinini hawafanyi 'ibada ya kuswali' !?
Halazimishwi mtu yeyote kujihusisha na Mahakama hiyo kama hataki 'ibada' hiyo kama mtu mwingine anavyokwepa ibada ya kuswali.

Kiislaam ndoa inayotambulika ni ya Muislaam kwa Muislaam mwenziwe, na imefungwa kwa taratibu za Kiislaam.
Muislaam anayesema kaoa asiye Muislaam huyo ni mzinifu period !
Uislaam hauhangaiki (katika taratibu zake) na asiye Muislaam ! Haika
 
Last edited by a moderator:

.........kwa hiyo wewe ndio unajua zaidi kuhusu Waislaam kuwa 'ibada' yao ya kupitia Mahakama ya Kadhi ni kero !?
Uislaam unahusika vipi na ndoa ya Muislaam na Mkiristu wakati katika Uislaam ndoa hiyo haitambuliki na hao watu wana hadhi ya 'wazinifu' !?
Unajua unacho ongea au unaropoka tuu ! CPU
 
Last edited by a moderator:
hapo juu umepatia! Ila hiyo signature yako pana utata mkubwa tu! Ndio sababu Mungu ametusisitiza kwamba 'wafu hawana sehemu kati ya walio hai!' kama ilivyo kwa wanadamu woote hatujakamilika ndivyo alivyo Nyerere, Mazuri mengi kayafanya pia mabaya mengi kayafanya! Basi tuendeleze yale mazuri yake na yale mabaya aliyo fanya, kama ameomba toba Mungu atamsamehe!
 

...........kwani nyinyi ndio mnao toa hizo siku kuu !?.........tupeni basi kama na nyinyi mlivyo na yakwenu ya mwaka mpya ! Tatizo nini, uchoyo !? Magobe T
 
Last edited by a moderator:
 
wewe ni al buhtan! Allah anakwambia; 'it is not for us to speak of this. Praise to thee; this is awfull slender!' Q. al nuur.6! kama uislamu hauhangaiki ktk taratibu zake za ibada wala kulazimisha! Kwa nini mnalazimisha Serkali isio amini muumini, iwalipe mshahara wanaoendesha ibada yenu? Huoni huo ni ukafir?
 
Last edited by a moderator:
Kwakifupi waislam ni wabaguzi! Ubaguzi ni sehemu ya dini yao, bila ubaguzi hakuna uislam.......hawana wanachowaza kwenye rasim ya katiba zaidi ya mahakama ya kadh.......wanahis hii tanzania ni yao peke yao
 
Mwanzisha mada Aksante sana, maana hakuna hata mmoja aliyejibu hoja, zaidi ya kutapatapa, hii ina maana dawa imewaingia na sasa wenye "akili" wameishaelewa. Wao wanakuwa wa kwanza kupinga upendeleo kwa watu wengine, na hapo hapo wanakuwa wa KWANZA kutaka kupendelewa. Kinacho wazuia kuanzisha wenyewe ni nini? Maana kama kuna mmojawapo atakataa kukubaliana na hukumu zao, basi ijulikane hana imani katika ibada hiyo, simple. Kama wanataka hukumu zao zitambulike kwenye sheria za mahakama, hiyo ni hoja nyingine lakini serikali kuanzisha Kadhi court , ama cout zingine za dini yoyote, ni kitanzi kwa mstakabali wa amani ya nchi yetu.
 
kama wewe huropoki, tubandikie humu Hukumu ya mzinifu na anae uacha uislamu!
 
Last edited by a moderator:
Hapo ndipo nawashangaa waislamu wa aina hii. Nani kakwambia mwaka mpya ni sherehe ya dini fulani? Au kinachowapumbaza ni kuona Wakristo wakisherehekea mwaka mpya kwa kufanya maombi na tamasha? Wametumia fursa hiyo tu, kumshukuru Mungu kwa kumaliza siku 395 basi no more. Ni kama unavyomshukuru Mungu kwa kumaliza siku moja. Hata na ninyi ni kosa kumshukuru Mungu kumaliza siku 395, nakuliombea Taifa? Siku serikali ikiifuta siku ya mwaka mpya, hakuna mkristo ataathirika maana si siku ya kidini upo? Basi kawaambie na wenzio, achene wivu wenzenu wanapotumia fursa ambayo hata ninyi mnayweza kuitumia bila shida.
...........kwani nyinyi ndio mnao toa hizo siku kuu !?.........tupeni basi kama na nyinyi mlivyo na yakwenu ya mwaka mpya ! Tatizo nini, uchoyo !? Magobe T
 
mbona wakatolic wana mahakama zao ndani ya kanisa kuanzia ngazi ya jumuia hadi ngazi ya mwisho vatican. na wala hazipo kikatiba na hazigharamiwi na kodi za wananchi. kwa nini waislam wasiwe na mahakama hiyo chini ya bakwata? mmmh i can smell something fishy down here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…