Ups zinauzwa aina ya apc.

Mlonda

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
2
UPS 2, zenye uwezo wa 1500va na 2200va zinauzwa, ni mpya kabisa.

Bei ni nafuu kabisa na nimaelewano.

Sababu za kuziuza ni zilitakiwa zitumike kwenye campuni mpya kwa bahati mbaya kampuni imesitisha kufungua tawi hapa TZ.

Piga namba 0713135070 kwa mawasiliano.

KARIBUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…