noel oga JF-Expert Member Joined Oct 20, 2015 Posts 272 Reaction score 219 Apr 29, 2016 #1 watu wa maabara tujuzane kuhusu hizi upt,nimempima mke wng leo mkojo ili kutambua uwepo wa mimba.upt imeonyesha mstari mmoja umefifia kama ulikuw unataka kuja na wa pili kuelekea kishikio umekolea wekundu.je naomb kujua kama pia n majb y mimba ipo
watu wa maabara tujuzane kuhusu hizi upt,nimempima mke wng leo mkojo ili kutambua uwepo wa mimba.upt imeonyesha mstari mmoja umefifia kama ulikuw unataka kuja na wa pili kuelekea kishikio umekolea wekundu.je naomb kujua kama pia n majb y mimba ipo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Apr 29, 2016 #2 Ipo Changa Bhcg level zipo chini ndio maana mstari umefifia...hcg hu-double kila baada ya masaa 48...hivyo usishangae mstari kuendelea kukolea rangi Next time tafuteni vile vipimo vya digital..vitasema kama not preggo, preggo, 1-2 weeks, 2-4 weeks
Ipo Changa Bhcg level zipo chini ndio maana mstari umefifia...hcg hu-double kila baada ya masaa 48...hivyo usishangae mstari kuendelea kukolea rangi Next time tafuteni vile vipimo vya digital..vitasema kama not preggo, preggo, 1-2 weeks, 2-4 weeks