Ukitaka kuishi vizuri kaa sehemu ya kuongoza na sio kuongozwa , hizi mada, vijembe kutukanana, kudharauliana ,wakati mnafanya yote haya wenzenu wanasafiri wanaenda ulaya familia zinasoma marekani na ulaya na mwisho don't trust any politician in this world.