Upumbavu wa Teja TID huu hapa, hii ni kama laana kutoka kwa Jide!!

Mkufu shingoni ndio ma papaaa au pedesheee?ni aibu mwanaume kuvaa vivazi vya kike
 
Kufika form 6 sio kujua english, it depends on where he passed through!
 
Kwani nae ni contenna. Duh kizazi cha mafanikio ya haraka haraka. They need to be redeemed from this.
 
Mshaurini TID kwa sasa akiwa hai au mnasubiri mpaka afariki ndio muanze kuongea. come on guys:yell::nod:
 

Mjomba acha chuki na wivu, angalau "Teja" TID anaongea English ya kuombea maji, ongea yako tukusikie basi...
We unaweza fanya kazi bila kulipwa???
 
Mmmh!
Nafurah tu kwamba huu uzi nimeupitia mchana huu baada ya kuchoka ukaamsha uhai wangu upya.
 
Luna nin kuhusu TID mbn nyuzi zote mmezifufua Leo?
 
Mjomba acha chuki na wivu, angalau "Teja" TID anaongea English ya kuombea maji, ongea yako tukusikie basi...
We unaweza fanya kazi bila kulipwa???

Hamjawahi tu labda kumsikia tid akiongea kiidhungu maana anamwaga ung'eng'e huyo sio km hao wengine na kwanza hata school background yke yeye hakusoma kayumba,amepiga hadi six Shaaban Robert pale upanga hiyo peke yke inampa confidence ya kuongea English nzuri anapoamua
 
kwanini msijadili hoja ya TID kutaka kudhulumiwa badala ya kujikita kwenye kizungu na uteja? hivi c ndo nyie wenyewe humu jamvin huwa mnasema Clouds wanawatia stress wasanîi kwa kuwadhulumu na ndio màana wanakuwa mateja? Kwahiyo, wakidhulumiwa na Clouds wanakua mateja lakin wakidhulumiwa UK, basi wa-shut up kv ni mateja!! MÀAJABU HAYA! By the way, hicho kizungu chake kina tatizo gani zaidi ya kuonekana kuna neno lipo dropped btn "not" nd "some"? nd if so, tht can be just a typing error nd nothing serious!
 
Luna nin kuhusu TID mbn nyuzi zote mmezifufua Leo?
Tumuulize King Kong III kv yeye ndie aliyezifukua hizo thread kuhusu TID na zote amezifukua kwa same message: "mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga" Hoyaa mkùu King Kong, vp?! Au ùmemegewa? "Kama umemegewa nawe tafuta demu wake ummegee, haiondoi maumivu bali urudisha hadhi ya kiume (by FA)", au kama vp mmegee dadake ambae is still chick, 18-21yrs(by NasDaz)
 
Last edited by a moderator:
Pengine alitumia ile kitu ndo akakubali, sasa huko majuu kakikosa ndo akili unamjia;
 
kwani unga unaharibu na kingereza au kachapia...t.i.d waga anajua ung'eng'e toka longtime...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…