Upungufu wa damu

Upungufu wa damu

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
3,509
Reaction score
3,741
Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli.

Jana kapimwa anadamu 6.3 he hiyo damu IPO sawa au anahitaji kuongezewa?
 
Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli.

Jana kapimwa anadamu 6.3 he hiyo damu IPO sawa au anahitaji kuongezewa?
Suala la majibu ya kiasi cha damu si namba tu. Hii huendana na umri, hali ya mgonjwa na nadhani hii ni 6.3g/dl.
Hivyo:
1: 6.3g/dl bila ugonjwa mwingine wowote ni sawa na ataendelea na lishe na folic acid.

2: 6.3g/dl wakati yuko kwenye tatizo lingine, mfano: crisis au ana malaria inahitaji kufatiliwa kwa karibu kwani hupungua kwa haraka.

NB: Maamzi hutegemea hali ya mgonjwa kwa ujumla na kilichopo.
Wasiliana na mtoa huduma wako atakueleza ana maamzi gani na kwa nini?
 
Back
Top Bottom