Suala la majibu ya kiasi cha damu si namba tu. Hii huendana na umri, hali ya mgonjwa na nadhani hii ni 6.3g/dl.
Hivyo:
1: 6.3g/dl bila ugonjwa mwingine wowote ni sawa na ataendelea na lishe na folic acid.
2: 6.3g/dl wakati yuko kwenye tatizo lingine, mfano: crisis au ana malaria inahitaji kufatiliwa kwa karibu kwani hupungua kwa haraka.
NB: Maamzi hutegemea hali ya mgonjwa kwa ujumla na kilichopo.
Wasiliana na mtoa huduma wako atakueleza ana maamzi gani na kwa nini?