upungufu wa hisia za mapenz vs upungufu wa nguvu za kiume

upungufu wa hisia za mapenz vs upungufu wa nguvu za kiume

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu
PHP:
mzizimkavu
atudadavulie apo...

maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,.....
 
hahaha sasa kama mtu hana ham na ,kewe afu anacheza gemu nje huo si uzinzi?
 
naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu
PHP:
mzizimkavu
atudadavulie apo...

maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,.....
Mkuu mkonowapaka Jaribu kueleza kwa kirefu mbona umeeleza shortcut? kifupi tu? Upungufu wa

Hisia za Mapenzi ndani ya nyumba inategemea wewe na mke wako uhusiano wenu ukoje?Hebu jieleze kwa kirefu

umemuowa tangu lini Mke wako?Je mumeshazaa watoto wangapi? Je kwa wiki munakutana mara ngapi? Je bado Mkeo au

Wewe unampenda kikweli Mke wako?Au yeye anakupenda kikweli Mkeo? Jaribu kutupa majibu kisha pia waweza

kutembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/mahusia...upungufu-wa-nguvu-za-kiume-kwa-waume-zao.html Na hapa pia https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Back
Top Bottom