mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 768 Aug 28, 2013 #1 naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu PHP: mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,.....
naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu PHP: mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,.....
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Aug 28, 2013 #2 mkonowapaka said: naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu PHP: mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,..... Click to expand... hahaha sasa kama mtu hana ham na ,kewe afu anacheza gemu nje huo si uzinzi?
mkonowapaka said: naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu PHP: mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,..... Click to expand... hahaha sasa kama mtu hana ham na ,kewe afu anacheza gemu nje huo si uzinzi?
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Aug 28, 2013 #3 mkonowapaka said: naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu PHP: mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,..... Click to expand... Mkuu mkonowapaka Jaribu kueleza kwa kirefu mbona umeeleza shortcut? kifupi tu? Upungufu wa Hisia za Mapenzi ndani ya nyumba inategemea wewe na mke wako uhusiano wenu ukoje?Hebu jieleze kwa kirefu umemuowa tangu lini Mke wako?Je mumeshazaa watoto wangapi? Je kwa wiki munakutana mara ngapi? Je bado Mkeo au Wewe unampenda kikweli Mke wako?Au yeye anakupenda kikweli Mkeo? Jaribu kutupa majibu kisha pia waweza kutembelea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...upungufu-wa-nguvu-za-kiume-kwa-waume-zao.html Na hapa pia https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
mkonowapaka said: naona kama kuna utofauti hapa..labda mkuu wetu PHP: mzizimkavu atudadavulie apo... maana mtu anakua hana hamu tuseme na mkewe ya kugegeda kikamilifu lakini mtu huyo huyo akitoka nje anapga gem ya hatar,..... Click to expand... Mkuu mkonowapaka Jaribu kueleza kwa kirefu mbona umeeleza shortcut? kifupi tu? Upungufu wa Hisia za Mapenzi ndani ya nyumba inategemea wewe na mke wako uhusiano wenu ukoje?Hebu jieleze kwa kirefu umemuowa tangu lini Mke wako?Je mumeshazaa watoto wangapi? Je kwa wiki munakutana mara ngapi? Je bado Mkeo au Wewe unampenda kikweli Mke wako?Au yeye anakupenda kikweli Mkeo? Jaribu kutupa majibu kisha pia waweza kutembelea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...upungufu-wa-nguvu-za-kiume-kwa-waume-zao.html Na hapa pia https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html