Upungufu wa homoni ni nini?

Upungufu wa homoni ni nini?

REMSA

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
2,579
Reaction score
956
Naomba kueleweshwa juu ya hili tatizo ambalo mwanamke anaambiwa homoni
zake zimepungua na ni nini madhara yake? Na inasababishwa na nini na tiba
yake nini?
 
hormone zip hasa? Kuna homon nyingi kama progestrn hormon e.t.c ie kuna zinazohusiana na ukuaj wa maziwa, mwil kwa ujumla na mara nying lishe duni ndo husababisha so kula balanced diet, though kuna nyingne zinakua zipo tu, kama ndogo ndogo 2, au mwanamke bt homon za kiume zinazid anakua anasaut nzito kama men vile.
 
Asante kwa maelezo,nilimaanisha Homoni za kike hasa kwa mwenye umri wa kuanzia miaka 40.
 
Back
Top Bottom