pole sana mtoa mada, hapo ni sawa na kutoa injini.
utafanya lakini watamfanya pia..Ndugu wa JF,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekua na mawazo sana kua endapo ikitokea nimeugua ngiri na operesheni ikahusisha utoaji wa kende moja na mimi nikabaki na moja,je sintakabiliwa na upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kupelekea kuteteresha ndoa yangu?
Nimeuliza hivyo ili itakapotokea ngiri ikanibana sana niwe na wepesi wakwenda kufanyiwa operesheni au nitumie tiba mbadala endapo majibu ya wanajukwaa watatoa michango ya maoni ambayo itaonyesha madhara makubwa au madogo.
utafanya lakini watamfanya pia..
Mi naona mzigo utapiga kama kawaida ila kuna nguvu kidogo itapungua mbona inasemekana kuna wanaume wenye korodani yenye yenye kende moja ndani na wanapasua mashine kama kawaida
Sio kwamba ukiwa nazo zote mbili ndo unapiga zaidi hapana ni kuwa kwenye uzalishaji wa mbegu utapungua kidogo ila mashine unapiga kama kawaidaok! nashukuru kwa jibu lako,inamaama upigaji mashine vizuri unategemea uwepo wa korodani zote mbili?Kama ndiyo naomba unifafanulie
Asante mkuu.Sio kwamba ukiwa nazo zote mbili ndo unapiga zaidi hapana ni kuwa kwenye uzalishaji wa mbegu utapungua kidogo ila mashine unapiga kama kawaida
Asante mkuu.
Kugongewa kupo palepale haijarishi una kende1 au 2Kwamba ntakua nashindwa kumridhisha au itakuaje?Naomba majibu yakitabibu,kwasababu kufanyiwa mke naona sasa hivi linawakumba wengi,au wanaofanyiwa wao walishatolewa kende moja?
unaijua ngiri mkuu? na inahusiana vipi na kutoa kende moja?
au ndio stori za mtaani tu!!!
kama ngiri ndio mshipa, kwa hiyo ndio inaitwa Hernia, na kwa maana hiyo basi hakuna matibabu ya hernia yanayohisisha utoaji wa kende.Mkuu mi najua ngiri ndo mshipa na mtu akitingwa sana hutolewa kende moja... kama unauelewa nijulishe
Sidhani kama kutakua na uhusiano ktk performance mana kuna watu hawana ngiri na bado hawaperform betterNdugu wa JF,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekua na mawazo sana kua endapo ikitokea nimeugua ngiri na operesheni ikahusisha utoaji wa kende moja na mimi nikabaki na moja,je sintakabiliwa na upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kupelekea kuteteresha ndoa yangu?
Nimeuliza hivyo ili itakapotokea ngiri ikanibana sana niwe na wepesi wakwenda kufanyiwa operesheni au nitumie tiba mbadala endapo majibu ya wanajukwaa watatoa michango ya maoni ambayo itaonyesha madhara makubwa au madogo.